Friday, 17 April 2020

Manchester United wahamia kwa Aubameyang

Manchester United wahamia kwa Aubameyang.

Pierre.Emerick.Aubameyang.Arsenal

Imeonekana kuwa rada za Man United zimenasa kwa mshambuliaji wa Arsenal Aubameyang anayewania kiatu cha dhahabu msimu huu akiwa na magoli 17 katika ligi kuu ya uingereza. Man United wana nia ya kupeleka ofa arsenal ya kumsajili Pierre-Emerick Aubameyang. 

No comments:

Post a Comment